Kwa Maneno haya ya Mwalimu Nyerere kwa Ghadaffi alikuwa anamaanisha nini? Maana Nyerere alikuwa "Jiniaz"

Kusema ukweli tunabahati sana kuongozwa na Nyerere I'm founding
 
Kusema ukweli tunabahati sana kuongozwa na Nyerere I'm founding
Mm nilichompenda nyerere na mpaka leo tumezifunika nchi nyingi za Africa ni ukabila mm niko kenya wana makabila 46 tuu lakini vita kila mtu ana lugha yake langi bongo land ni 120+ na lugha mojaaa tuu kiswahili hongera nyerere vingine vyotee upuuzii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…