Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Huu Uzi huu auone mke wa bujibuji Miss Natafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha Hahahahaäa haaaaaisee sawa na kuogopa mende ilihali mikurungu wanayokalia inalingana na nyoka aina ya kifutu
Kwa kweliMsichana ni mtu ambaye anaweza kwenda kuoga huku nywele kaziacha ndani
Naamini huyo as Chui hata hajakuoa ila uli.......Hahaaa kumbe mie nilikuwa mwanamke moja kwa moja...
Sikuwahi kutoroka usiku ila ilijulikana niko chuo kumbee nimelala ghetto.
Na ikiwa siko chuo, nilikuwa nasema, nikichelewa kurudi nyumbani mama atanigombeza... Sikupenda mama yangu akasirike sababu ya mimi kuchelewa kurudi nyumbani.
unacheka nini?Hahahaa
Heee Miss Natafuta ni mke wa Bujibuji? Mbona yuko busy mitandaoni, mume anamhudumia SAA ngapi?Huu Uzi huu auone mke wa bujibuji Miss Natafuta
Naamini huyo as Chui hata hajakuoa ila uli.......
Naamini huyo as Chui hata hajakuoa ila uli.......
Utamu wa naniliuu aujuaye muonjajiMsichana ni Naniii...
Msichana ni mtu ambaye anaweza kutoroka kwaoo saa sita usiku akaenda kwa boyfriend wake ... Ila kwenda chooni saa mbili usiku anaogopa kisaa kuna gizaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msichana ni mtu ambaye anaweza kwenda kuoga huku nywele kaziacha ndani
mume bwegeHeee Miss Natafuta ni mke wa Bujibuji? Mbona yuko busy mitandaoni, mume anamhudumia SAA ngapi?
TuruuUtamu wa naniliuu aujuaye muonjaji