Kwa maneno na matendo yake, Rais Samia alikuwa njiapanda wakati wa Hayati Magufuli?

Kwa maneno na matendo yake, Rais Samia alikuwa njiapanda wakati wa Hayati Magufuli?

Foka Foka Imeenda na mwendazake...Kiongozi ni Kukubali kushauriwa nadhani aliyeendazake Kushauriwa ilikuwa kama kutukanwa..
Ingawa namzidi Mama kama miaka 10 nashawishika kusema Rais Samia shikamoo. You are doing the right thing!
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.

Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na ccm.


My take.

Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.

Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.

 
President Samia is trying to relax social tensions created by mwendazake...in other words is trying to bring social harmony.
 
Unataka kutuambia kwamba naye Ni mmoja kati ya watu waliofurahi 17/03/21?
 
Rais huwa HAKOSEI anapokuwa na ile mikono yake ya kikatiba "presidential decree"....

Ukiwa makamu wa Rais ni msaidizi tu wa "no.1" na katiba inakutaka kuheshimu "CHAIN OF COMMAND"

Ni Leo hii mh.Rais amemtania MAKAMU RAIS kuwa sasa naye "anaongelea" kwa "ukali" mambo ya MAZINGIRA na akamkumbusha jinsi alivyokuwa "less concerned" na mambo ya MAZINGIRA kipindi akiwa WAZIRI WA FEDHA na hata kuchelewesha baadhi ya mambo hayo "kifedha"......

Mama SSH ni aina ya VIONGOZI SMART mno ambao wamejaa heshima ,nidhamu ,busara na uvumilivu mkuu kwa MABOSI WAO....

Kudos mh.SSH!

#KaziIendelee
 
Yes, she's different.

Japo ni CCM ile ile na mtu humezwa na mfumo iwe mbaya au mzuri, lakini at least huyu "kitabia" anaonesha amelelewa vizuri, kuheshimu utu wa mtu.

Mwendazake Magufuli alikuwa ni tatizo kuanzia kwenye culture, malezi mabovu na kwa sababu hiyo kutuathiri sisi sote kama taifa.

It's better that he has gone forever.
Wahutu wana asili ya roho mbaya sana na visasi.
 
Wewe Etwege usimlishe Kamanda Mbowe maneno. Weka clip hapa vinginevyo ni ugoro tu wa Lumumba! Narudia tena weka clip.
Huyo dada kila akiwa kwenye heat lazima amtaje Mbowe,msamehe bure ukware unamsumbua
 
Back
Top Bottom