Kwa maneno ya Coach Nabi na kwa hii hali kama Zalan wangeshinda ningeamini Uchawi Upo. Tuwaombee tu.

Kwa maneno ya Coach Nabi na kwa hii hali kama Zalan wangeshinda ningeamini Uchawi Upo. Tuwaombee tu.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari walikuwa wanalitumia hapa Dar. Imagine mwenyewe.
Screenshot_2022-09-18-19-17-41-198_com.twitter.android~2.jpg
 
iyo picha hapo hao wachezaji walikua kidongo chekundu wametoka kupasha au?
 
Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari walikuwa wanalitumia hapa Dar. Imagine mwenyewe.
View attachment 2360908
Puwa, puwa, puwa kabisa khanisi wewe.

Hiyo Picha umeokoteza mtandaoni ni ya huko South Sudan kitambo tu.

Rage alipowaita mbumbumbu hakukosea, timu ngeni ikija Tanzania gharama ni za timu ya Tanzania na hasa usafiri lazima muwaandalie.
 
Back
Top Bottom