Kwa maoni haya ya Raia wa Afrika Kusini, bora Zuma asingetia mguu Tanzania

Kwa maoni haya ya Raia wa Afrika Kusini, bora Zuma asingetia mguu Tanzania

duuhhh! wametisha
Mama weeeeeeeeeeeeeeeeee
Hii yote Sababu ya Bashite. Bashite ujue unatutia laana nchi hii!!
Indeed we are!
Lakini kuna kaukweli ndani yake!
Kwa kweli kuja tanzania ni kupoteza

Kumbe ni Upuuzi Uliotoaka Kwa Changudoa Mange Kimambi?
IMG_20170513_113345_874.JPG
 
Unajua South Africa Ina Watu wangapi? Ngoja nikuambie siri yeye anawakilisha

1/55,369,570 au 0.0000018060℅
Akili yako fupi kama hiyo pua hapo mbele yako...
Badala ya kufikiria what has gone wrong mpaka nchi kudharauliwa kiasi hiki.. U are coming here with very cheap and irrelevant arguments..
Hopeless.
 
Yaani waTanzania bana...juzi kati tumekuwa tukimsema Magufuli eti anaalika viongozi uchwara..Ethiopia, Vitnam, DRC nk....kwamba aalike viongozi wa 'maana'. wa huko Mambelez kwa akina Lemutuz!

Sasa kama hao wananchi na wenyewe waliona maoni yetu kwenye mitandao yaliyokuwa yanakashifu viongozi wao...walijisikiaje??? The same way unavyojisikia kwa hayo maoni!

if you want to be loved, love others.
Zuma holds number one position Africa kwa marais wasio na elimu
 
Duh hao wanaodharau watakuwa wamezaliwa baada ya SA kupata Uhuru na hawaelewi walikotoka na mchango wa Tz ktk ukombozi wa mababu zao!!
 
Duh hao wanaodharau watakuwa wamezaliwa baada ya SA kupata Uhuru na hawaelewi walikotoka na mchango wa Tz ktk ukombozi wa mababu zao!!
Licha ya hayo, huwa hawafundishwi historia ya ukombozi wa taifa lao
 
Duh hao wanaodharau watakuwa wamezaliwa baada ya SA kupata Uhuru na hawaelewi walikotoka na mchango wa Tz ktk ukombozi wa mababu zao!!
Achana na stori za uke wenza wewe, kama nyinyi ndio mnakufa vidole vimenyooka kwa watoto wa wenzenu..."mimi ndio nilimsomesha yule" so what?

Vijisababu vya kale haviondoi ukweli kuwa we are considered insignificant.
 
Hayo si maoni ya mtu mmoja tu mkuu! Hicho siyo kitu kikubwa huyo 'Brendan Gutzeit' aliotoa maoni hayo anaonekana Kaburu wewe unategemea atasema nini?
 
Achana na stori za uke wenza wewe, kama nyinyi ndio mnakufa vidole vimenyooka kwa watoto wa wenzenu..."mimi ndio nilimsomesha yule" so what?

Vijisababu vya kale haviondoi ukweli kuwa we are considered insignificant.
Jibu hoja kwa hoja na si povu!!
 
Jamaa yupo sawa kabisa... Huku Zuma kajifunza nini zaidi ya wizi wa rambi rambi na matamko ya ovyo ovyo toka kwa mwenyeji wake.
 
Zuma si mpumbavu kiasi hicho mpaka afanye maamuzi kwa hiyo sababu.

Uko shallow sana mtoa mada.
 
Back
Top Bottom