Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Nimeamua mwenyewe kusema kuwa hakuna kura zinazoibiwa Tanzania kwa mazingira sababu hizi;
1. Wagombea wa vyama vya upinzani wenyewe kwa vinywa vyao utawasikia wakisema kwenye majukwaa, oooh Ubunge mpe fulani wa chama lingine isipokuwa nipeni mimi.
2. Wapinzani wenyewe vichwa vyao vipo resi kuanzia kuzungumza hadi vitendo.
3. Wapinzani wenyewe hawaelewani ndani na kutwa kusalitiana wamejaa tamaa na dhahiri matumbo ndio yanawaongoza.
4. Kwa utu uzima wa watanzania na hekima zao wakifika kwenye kile chumba cha kupiga kura wanachagua kijani.
Haki haitawahi kuwepo duniani amini usiamini isipokuwa amani tu.
Ccm wataendelea kutawala hadi pale Mungu atakapoamua vinginevyo.