Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Tudadavulie kama hutojali
Hayo yote ni majina ya course moja.. Majina yanatofautiana from country to country but its the same course with the same course contents.. Mleta mada alizitofautisha which ain't right...
 
Hayo yote ni majina ya course moja.. Majina yanatofautiana from country to country but its the same course with the same course contents.. Mleta mada alizitofautisha which ain't right...
Nimeona Building Economics Ardhi wanataka applicant awe amefaulu hesabu na somo jengine lolote lakini Quantity surveying UDSM wanataka applicant awe amefaulu hesabu na physics tu...nikajua contents zitakuwa tofauti au huyu wa Quantity surveying ana fundishwa na some practices na building construction
 
Sijaelewa mantiki ya unachopinga
mtoa mada ameandika program ya maritime transportation kwa aliesoma economics ni nzuri
Unachopinga ni nin?kwamba aliesoma economics hawezi kusoma maritime transportation?
kila la kheri....
 
Its the same course contents.. walimu wa quantity surveying UDSM wanatoka ARU
 
Hapo umesahau account and finance in Oil and Gas
 
Umesahau BSc in Oil and Gas engeneering. Hii ina future nzuri sababu kuna migodi kibao ya kuchimba mafuta na gesi iko mbioni kuanzishwa
 
Umesahau BSc in Oil and Gas engeneering. Hii ina future nzuri sababu kuna migodi kibao ya kuchimba mafuta na gesi iko mbioni kuanzishwa
Future hadii ww jamaaa...wachaa maneno ya siasa...watu wamemliza wako mtaani wanakula vumbi afuu wewe unakuja hapa unazngumzia future....watu wakae jobless waisubilie hyo future yako...????...
 
I doubt the ability to critic of most members on this platform.

Only few people read the topic and share their views relative to the context.

Mleta mada amesema kwa maoni yake "He listed the top 5 courses in Tanzania":

Now see how people attach him instead of giving their opinion.

Open your brains before you open your mouth.

Thank you.
 
Elimu ya bongo hainaga fomyula nilikua vizuri tu kwene pisibii mwisho wa siku nimekua muwasibu.
 
Wenye hela wana siasa
 
Future hadii ww jamaaa...wachaa maneno ya siasa...watu wamemliza wako mtaani wanakula vumbi afuu wewe unakuja hapa unazngumzia future....watu wakae jobless waisubilie hyo future yako...????...
Si kwa Povu hili 😀
 
Mkuu imeiacha fani muhimu sana; ualimu, kwa masomo yoyote utakayosoma utafit kwenye fani mujarabu ya ualimu
 
Sijui kama washauri wako wapo sahihi, hakuna top five Bila kujali mchango wa kila taaluma duniani, hakuna dunia iliyoenda mbele kwa dhana hiyo, mm naamani kila taaluma ni top kwa anayesoma, haijalishi.
 
Umesahau BSc in Oil and Gas engeneering. Hii ina future nzuri sababu kuna migodi kibao ya kuchimba mafuta na gesi iko mbioni kuanzishwa
Hizi ni list za kozi zenye strong employments both self and public sasa wewe jichanganye na oil na gas utasimamia vibatari ndo matank ya kerosene
 
Kila kozi Ina mfereji wa mafanikio, kusoma kwa ajili ya ajira kwa sasa ni Sawa na kuota moto mchana wa jua kali, kujiajiri ndo mpango mzima, hakuna cha top 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…