Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Umetudanganya hapo......!

Vp kwa coz za education cjaona hapo...........!

Heading doesn't match with the content ......mara Combination za advance ...............

Kimsingi

Kajipange upya ndyo uje tenah
 
Hizo courses zngekuwa bora

1. miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi isingekuwa inapelekwa kwa wageni

2. Maghorofa yasingekuwa yanadondoka yenyewe

3. Barabara zetu zinazojengwa na wazawa zingekuwa bora sana.

4. Madaktari wasingekuwa wanakosea kupasua kichwa badala ya goti

5. Tungekuwa na mipango miji mizuri sana.

6. Tungekuwa na kilimo cha umwagiliaji kuliko Egypt.

7. Walijifunza wenyewe bila mwalimu.

8. Na mwisho kwa leo, wote waliosoma hayo, wanaajiriwa na aliyesoma Kiswahili na civics.
Mkurugenzi au
 
Kuna Course nilisoma Udom inaitwa Environmental Disaster Management....aisee jamani acheni elimu ya bongo magumashi sana sahizi nipo kwa wahindi naprint makaratasi tu....
kufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Bora ungesomea Bees Enginering, ungekuwa unamiliki mizinga ya nyuki.

KOZI ZINGINE SIO KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Umetudanganya hapo......!

Vp kwa coz za education cjaona hapo...........!

Heading doesn't match with the content ......mara Combination za advance ...............

Kimsingi

Kajipange upya ndyo uje tenah
Education zamani
 
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo

Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical and Processing Engineering
5.Software Engineering

Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry

Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation

Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
Kwa hizo kozi za Ardhi University kuanzia Architecture, Building Economics, Geomatics na LMV hao wote ni madalali wa viwanja na majengo ajira ni chache Kwaio wewe jichanganye sasa kama unataka ajira rasmi utajuta.
 
Back
Top Bottom