24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,630
- 5,958
civil udsm...Utakuwa injinia wewe. Kiingereza kibayaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
civil udsm...Utakuwa injinia wewe. Kiingereza kibayaaa.
Soko la ajira ikoje kwa irrigation and water resources engineeringKwa kifupi aliyetoa hiyo hoja hajua hata tofauti ya consultant/engineer/designer na constructor!!
Irrigation/water resources engineer.
Nchi yoyote duniani haiwezi kusonga mbele bila yakua na sheria! Wanasheria wako wapi hapa brother??Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo
Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical and Processing Engineering
5.Software Engineering
Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry
Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation
Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
Si hiyo Accounts & Finance au kuna baf lingine???Baf yangu sijaona
Mawazo mfuu,,,Hizo courses zngekuwa bora
1. miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi isingekuwa inapelekwa kwa wageni
2. Maghorofa yasingekuwa yanadondoka yenyewe
3. Barabara zetu zinazojengwa na wazawa zingekuwa bora sana.
4. Madaktari wasingekuwa wanakosea kupasua kichwa badala ya goti
5. Tungekuwa na mipango miji mizuri sana.
6. Tungekuwa na kilimo cha umwagiliaji kuliko Egypt.
7. Walijifunza wenyewe bila mwalimu.
8. Na mwisho kwa leo, wote waliosoma hayo, wanaajiriwa na aliyesoma Kiswahili na civics.
Kosa la serikali iloHizo courses zngekuwa bora
1. miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi isingekuwa inapelekwa kwa wageni
2. Maghorofa yasingekuwa yanadondoka yenyewe
3. Barabara zetu zinazojengwa na wazawa zingekuwa bora sana.
4. Madaktari wasingekuwa wanakosea kupasua kichwa badala ya goti
5. Tungekuwa na mipango miji mizuri sana.
6. Tungekuwa na kilimo cha umwagiliaji kuliko Egypt.
7. Walijifunza wenyewe bila mwalimu.
8. Na mwisho kwa leo, wote waliosoma hayo, wanaajiriwa na aliyesoma Kiswahili na civics.
nadhani hii post inaleta mkanganyiko kwa sababu watu hawajaelewa ni kwa vigezo gani zimekua best courses, je ni kigezo cha ajira/demand au mshahara utakaolipwa? au uwezo wa kusoma na usitegemee sana ajira meaning kujiajiri mwenyewe au vipi? mkuu geometry hebu fafanua kidogoTop 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo
Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical and Processing Engineering
5.Software Engineering
Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry
Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation
Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
Ualimu ndo ulikuwa dili ila kwa sasa hivi ni big NOVipi kuhusu Hkl na Hgk?
Chemistry,Biology and Pure Mathematics!!! I think imeanzishwa 2014 kuja juu....CBM ni kombi gani hiyo mkuu
Wanakimbilia kwenye Mabank tu!Hizo courses zngekuwa bora
1. miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi isingekuwa inapelekwa kwa wageni
2. Maghorofa yasingekuwa yanadondoka yenyewe
3. Barabara zetu zinazojengwa na wazawa zingekuwa bora sana.
4. Madaktari wasingekuwa wanakosea kupasua kichwa badala ya goti
5. Tungekuwa na mipango miji mizuri sana.
6. Tungekuwa na kilimo cha umwagiliaji kuliko Egypt.
7. Walijifunza wenyewe bila mwalimu.
8. Na mwisho kwa leo, wote waliosoma hayo, wanaajiriwa na aliyesoma Kiswahili na civics.
Demandnadhani hii post inaleta mkanganyiko kwa sababu watu hawajaelewa ni kwa vigezo gani zimekua best courses, je ni kigezo cha ajira/demand au mshahara utakaolipwa? au uwezo wa kusoma na usitegemee sana ajira meaning kujiajiri mwenyewe au vipi? mkuu geometry hebu fafanua kidogo