Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo

Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical and Processing Engineering
5.Software Engineering

Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry

Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation

Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
Nchi yoyote duniani haiwezi kusonga mbele bila yakua na sheria! Wanasheria wako wapi hapa brother??
 
Sitokaa nisahau kauli ya mzazi wangu. Aliniambia hakikisha una chagua course ambayo unauwezo wa kuji ajiri hata usipo ajiriwa.

Hapo ndipo shida ilipo watu wanataka kusoma course zenye majina makubwa midomoni lakini uhalisia wa nchi yetu ukija mtaani utabaki na jina la course yako mdomoni na jina la chuo chako ila degree yako huifanyiiii chochoteee hata ukipewa mtaji uji ajiri kutumia ujuzi ulio somea chuo hutoweza sababu ya lack of practical experience.

Kwa nchi yetu kuna vitu havija fikia viwango hivyo na ndo maana kuna sector zingine watu wamesomea lakini ajira hamna na hawezi kujiajiri kwa kutumia taaluma yake ila lazima tupate wasimamizi/ consultants wa nje ya nchi sababu kwa viwango vyetu bado hatuja fikia uko.

Serikali ita anzisha course mpya vyuoni lakini ukija kwenye reality ya ajira wana leta watu wenye hizo taaluma na experience kutoka nje kusimamia kitu ambacho wao wenyewe walianzisha hizo course vyuoni mwisho wa siku wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa baadhi ya course.
 
Hizo courses zngekuwa bora

1. miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi isingekuwa inapelekwa kwa wageni

2. Maghorofa yasingekuwa yanadondoka yenyewe

3. Barabara zetu zinazojengwa na wazawa zingekuwa bora sana.

4. Madaktari wasingekuwa wanakosea kupasua kichwa badala ya goti

5. Tungekuwa na mipango miji mizuri sana.

6. Tungekuwa na kilimo cha umwagiliaji kuliko Egypt.

7. Walijifunza wenyewe bila mwalimu.

8. Na mwisho kwa leo, wote waliosoma hayo, wanaajiriwa na aliyesoma Kiswahili na civics.
Mawazo mfuu,,,
 
Kosa la serikali ilo
 
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo

Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical and Processing Engineering
5.Software Engineering

Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry

Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation

Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
nadhani hii post inaleta mkanganyiko kwa sababu watu hawajaelewa ni kwa vigezo gani zimekua best courses, je ni kigezo cha ajira/demand au mshahara utakaolipwa? au uwezo wa kusoma na usitegemee sana ajira meaning kujiajiri mwenyewe au vipi? mkuu geometry hebu fafanua kidogo
 
Kuna mtengeneza barabara mmoja, anatengeneza barabara kutoka bigwa kuelekea kisaki hapa Morogoro, sijui na yeye yupo hapo kwenye hizo topu'kozi!!! Maana ni bora wananchi tungeambiwa tuingie na majembe tuichonge kuliko hiki anachofanya!
 
Hizo courses zngekuwa bora

1. miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi isingekuwa inapelekwa kwa wageni

2. Maghorofa yasingekuwa yanadondoka yenyewe

3. Barabara zetu zinazojengwa na wazawa zingekuwa bora sana.

4. Madaktari wasingekuwa wanakosea kupasua kichwa badala ya goti

5. Tungekuwa na mipango miji mizuri sana.

6. Tungekuwa na kilimo cha umwagiliaji kuliko Egypt.

7. Walijifunza wenyewe bila mwalimu.

8. Na mwisho kwa leo, wote waliosoma hayo, wanaajiriwa na aliyesoma Kiswahili na civics.
Wanakimbilia kwenye Mabank tu!
 
nadhani hii post inaleta mkanganyiko kwa sababu watu hawajaelewa ni kwa vigezo gani zimekua best courses, je ni kigezo cha ajira/demand au mshahara utakaolipwa? au uwezo wa kusoma na usitegemee sana ajira meaning kujiajiri mwenyewe au vipi? mkuu geometry hebu fafanua kidogo
Demand
 
Back
Top Bottom