Nazungumzia kumpata mgombea kwenye vyama vyetu vya siasa. Kitendo cha kutuigizia kuwa wanachama wanamkubali mgombea mmoja 100% Ni uongo na unafiki.
Tuanze sasa kubadilika na kuruhusu watu wote wenye sifa kuchukua fomu za kugombea urais kila uchaguzi unapofika. Tusiwe wachoyo.
Ahsanteni.