Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ni ukweli hizo takataka za ccm zinacheza na damu waliyo mwaga kwa maslai ya raia fekiHawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
Aliyekwambia hawaelewani nani? Nyumbu wa Chadema? Ahahahahaha!Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
Samia hagombei Urais na Katiba Mpya alishaahidi kupatikana Sasa ni Juu yenu .Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
Wanatuona mandeziHawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
WaTanganyika ndivyo walivyo vichwa vibovu... Haiwezekezani mtu akatoka shimo la choo akawa msafi.ila kuna watu washaanza kumshangilia imma sijui kwanini wanasahau kwamba na yeye kahusika kuwapoteza wenzetu oct 29
HakikaHawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
Naunga mkono hojaHawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
Who cares kama unawatambua au hauwatambui?Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
Tena vibaya mno kama mlikua hamjui samia kaambiwa akae kimya .Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
Soma uelewe usikurupuke, kasema wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili kutudanganya.Aliyekwambia hawaelewani nani? Nyumbu wa Chadema? Ahahahahaha!
Wapi wamejifanya hawaelewani?Soma uelewe usikurupuke, kasema wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili kutudanganya.