Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
- Thread starter
-
- #21
Kabisa mkuuUmewaza vyema. Hakuna namna unaweza kuwatenganisha.
Nadhan wanaweka mtu 'standby mode' mana wote wako chini ya boss mmoja!
Ni kama Republican na Democrats wanavyofanya ngonjera kwenye vikao lakin boss ni mmoja ..Zionists
Mkuu umewaza kiuyakinifu sana.Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
Asiyemjua Nchimni arudi kwenye faili lake alipokuwa waziri na aliyowatenda wakinzani wa CCM ili apate picha halisi.Hana utu wala ustaarabu wowote.Mkuu umewaza kiuyakinifu sana.
Anayeamini maneno yanayotoka mdomoni mwa Nchimbi ni mdhaifu wa kimantiki na hafuatilii siasa za Tz sawa sawa.
Je aliyeshikilia msimamo wa jina moja mgombea mmoja Ccm ni nani?
Je aliyesema hakuna maridhiano wala mjadala wa Katiba wala marekebisho ya sheria za uchaguzi hadi uchaguzi upite na kupelekea ghadhabu ya umma na umwagaji damu ni nani?
Wadhani ye'haelewi kuwa 'kuropoka' jambo lililo kinyume na boss wake ni kusaka kura ya kutokuwa na imani naye na kufurushwa kwenye ulaji?
Nawashangaa sana wanaomshangilia na kumuona kuwa ni mzalendo wakati ye'na Samia ni kitu kimoja na wamepanga kulificha 'kombe' kwa kukataana kisanii!
Deadline ya Komoni WethiHawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa.
Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais.
Nawatambua kama walioshindwa kuendesha serikali na kuumiza raia wake. Huo ndio msimamo wangu na nina maanisha.
Ninachojua ni kwamba hivi karibuni mtapay the price.
NB: ANGALIENI MACHO YA NCHIMBI AKIWA ANAONGEA.
Nchimbi, Chande na Samia ni wale waleAsiyemjua Nchimni arudi kwenye faili lake alipokuwa waziri na aliyowatenda wakinzani wa CCM ili apate picha halisi.Hana utu wala ustaarabu wowote.
Ok okayDeadline ya Komoni Wethi