Nasema kwa masikitiko makubwa sana kwqni mimi binafsi huwa naingia uwanjani kwa lengo la kuisapoti timu yangu. Ila nimekatishwa tamaa sana na mapato ya uwanjani kwani ni wazi kuna wizi mkubwa ambao hauwezi kudhibitiwa na mtu yeyote.
Na hata viongozi wa timu hizi wanaogopa kuhoji.
Sitaingia tena uwanjani ili wezi hawa wasipate pesa yangu kirahisi.Hii ni njia nimeua binafsi.Najua wapo wazalendo watakaoniunga mkono
Karia mwizi Sana sema kaweka wezi wenzie pale tff Ila nashindwa kuelewa serikali kwa Nini wasingekuwa wanakusanya pesa wao kupitia wizara ya michezo maana viwanja vyenyewe Ni vya serikali na ccm ukiondoa uwanja wa Azam.
Na tiketizote ziuzwe online tu kwenye mfumo sio kwenda na pesa uwanjani hi ndio inaongeza wizi yaani unatoa muda kabisa kwamba tiketi zitauzwa mpaka lisaa limoja kabla ya mechi mtu anatoka nyumbani na tiketi yake.