Nasema kwa masikitiko makubwa sana kwqni mimi binafsi huwa naingia uwanjani kwa lengo la kuisapoti timu yangu. Ila nimekatishwa tamaa sana na mapato ya uwanjani kwani ni wazi kuna wizi mkubwa ambao hauwezi kudhibitiwa na mtu yeyote.
Na hata viongozi wa timu hizi wanaogopa kuhoji.
Sitaingia tena uwanjani ili wezi hawa wasipate pesa yangu kirahisi.Hii ni njia nimeua binafsi.Najua wapo wazalendo watakaoniunga mkono