Kwa mapenzi ya aina hii

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
329
Reaction score
10
Nimekuwa nikisikia kuwa

Kwa wahindi, unaruhusiwa kufunga ndoa na yeyote yule ambaye sio tumbo baba mmoja na wewe. Yaani mtoto wa shangazi, ba mkubwa, ba mdogo n.k wote ruksa.

Kwa wamasai, ruksa kufanyana hata na dada ako wa tumbo moja, lakin kama ameshaolewa. Kabla ya kuolewa sio ruksa.

Kwa wachina, vyovyote vile ili mradi mmependana.

Je haya yote ni kweli?
 
Wahindi mpo? naskia pia mzee anaemkaribisha mtoto wa kike maraha ya dunia
 
utaisamehe mambo ya incest siyachangiagi...
maana hii ndo laana kuliko laana zote......
 
utaisamehe mambo ya incest siyachangiagi...
maana hii ndo laana kuliko laana zote......

Ni kweli Afro, ila hapa hatu-discuss kwa nia ya kutukana watu wa jamii fulani, bali tuna elimishana. So mimi nataka kufahamu tu na wala siendi zaid ya hapo
 
Na laana huja kwa kumsema mwenzio kwa mabaya. Kwa hiyo laana itakujaje kama moja kati ya ninayotaka kujua hapo juu ni kweli?

Tufahamu na utamaduni wa wenzetu
 
Ni kweli Afro, ila hapa hatu-discuss kwa nia ya kutukana watu wa jamii fulani, bali tuna elimishana. So mimi nataka kufahamu tu na wala siendi zaid ya hapo

mmmhhh haya wataalum watakusaidi muda si mrefu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…