Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 10
Nimekuwa nikisikia kuwa
Kwa wahindi, unaruhusiwa kufunga ndoa na yeyote yule ambaye sio tumbo baba mmoja na wewe. Yaani mtoto wa shangazi, ba mkubwa, ba mdogo n.k wote ruksa.
Kwa wamasai, ruksa kufanyana hata na dada ako wa tumbo moja, lakin kama ameshaolewa. Kabla ya kuolewa sio ruksa.
Kwa wachina, vyovyote vile ili mradi mmependana.
Je haya yote ni kweli?