Kwa mapishi najimini

Kwa mapishi najimini

asante nitakufundisha kupika ndizi mzuzu na samaki

thanx BW ila ningependa unifunze kitu kingine nisichokijua maana mie mkoani kwetu ndizi ndo chakula chetu kikuu so nazijulia sana kuzitengeneza.
 
kama veve iko tayari kwa interview basi kuja nyumbani yangu pale mtaa ya jamuhuri kesho jioni. Wewe pigia mimi simu hiyo tapata kwa pm. Sawa toto?
 
mmmmhhh hilo wali na mpizza kama kwa pinto aiseee...
 
nmekupenda gafla bin vuu...!!. ntakupata wapi niweke ndani uwe unanipiki? nshapata sababu ya kukupenda.ngoja nikupm. Mia
 
Kila nikipika ugali unatoka na vipele..sijui kwanini nisaidieni jamani
 
vinaonekana kwa macho rangi ya utamu utamu.je anti unaweza kuja kunipikia nami nikafaidi hayo mapishi yako?
 
mnaotaka nije niwapikie orodhesheni majina yenu,then nitawakaribisha kwangu mje niwapikie,Ila sharti la kuja kwangu ni kwamba lazima uje na mkeo,msio na wake siwataki kwangu.
 
wakiitwa wanaojua kukarangiza lazima na mie niende.Kwa mambo ya jikoni nimebarikiwa.
ukitaka vya kihindi utadhani nimezaliwa bombay,ukija vya kichina na Thailand achilia mbali vya mexico na vya kizungu.Sasa ukila ugali na dagaa nilizopika mie lazima ujingate vidole. Iam the kitchen queen.

View attachment 44843


View attachment 44845View attachment 44848View attachment 44849
View attachment 44844
Nina tatizo na wenye huo utaalam wako, kama uko single taarifa tafadhali ili nianze kupasha. Na ninaomba avatar yako isiakisi chochote katika hali yako halisi kwa sasa lol!
Nilivyo na bahati mbaya unaweza kuta ki avatar avatar nimechelewa!
 
kumbe kabla ya leo ulikua unanichukia.

nilikua nakuona easy going. lakini sasa hivi nakuvulia nyota. unajua wasichana wengi hawajui kupika? ndo maana wanakimbilia kutafuta mahousegirl ili wasiumbuke. mtu unamtembelea msichana lakini anashindwa kukuandalia hata chai wa kazi gani? wapikaji siku hizi wameadimika. mtu kafuga kucha kama jini atawezaje kusonga ugali? hata akisonga hautaiva. Mia
 
Kila nikipika ugali unatoka na vipele..sijui kwanini nisaidieni jamani

utakua unasonga kipale.
anza kwa kukoroga uji(uweke unga wa uji kabla maji hayajachemka). uji ukiiva ndo uweke unga kwa ajiri ya kusonga ugali. songa ugali hadi uhakikishe umeiva. utauona mwenyewe ugali ukianza kuvimba na kujamba jamba. unaweza kuonja ili kuhakikisha ugali umeiva. ukisha iva andaa na nyama choma tayari kwa kuliwa. Mia
 
nimeshagundua,eti msichana akijisifia hapa jf wanaume wanadhan anajitafutia soko kwa wanaume,ndo mana utasikia ooh sijui njoo kwangu unipikie,ooh unapatikana wapi nikuoe unipikie.Mim sitafuti mwanaume hapa jf.
 
Back
Top Bottom