bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Ukiangalia mapokezi Aliyopata Sadio Mane Mchezaji wa Liverpool Raia wa Senegal aliyekosa Penati dhidi ya Cameroon utajua kwamba Wazungu wameanza kutambua michango ya watu Weusi anzia kwenye mpira naimani itaenda mpaka kwenye Sekta zingine.
Ni Nadra sana Wazungu kukusanyika kwa Wingi vile kumpokea Mwafrika inaonyesha ni jinsi Mane anakubalika nje na ndani Ya Liverpool.
Tangu mkali huyo wa kupachika nyavu aondoke Liverpool imekua haina matokeo mazuri wakifungwa na Southmpton na pia Wolves na kutolewa Kwenye mashindano mawili ndani ya wiki moja.
Ni zamu ya Mane kulipa Fadhila kwa Wanaliverpool kwa kuhakikisha anaisaidia liverpool kupata matokea mazuri.
MANE MASHABIKI WA LIVERPOOL WAMEKUAMINI NAWE ONESHA UBORA WAKO KIWANJANI NA KUZIDI KULITANGAZA VEMA BARA LA AFRIKA..