Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,005
Ulisoma memkwa nini!!!hiyo picha si ya kipindi kile liverpool kashinda UCL?
Soma hayo maandishi unayoyaona kwenye utepe mwekundu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisoma memkwa nini!!!hiyo picha si ya kipindi kile liverpool kashinda UCL?
Trust me bro! Your brain still needs you. Kwa hiyo umeshindwa kujiongeza kwamba hayo maandishi yakuedit? Halafu wewe ni Jf expert member vitu vidogo namna hii unashindwa kuelewa vipi vikubwa?! Usiutenge ubongo wako unapotoa mawazo yako. Ona sasa unavyojidhalilisha.Ulisoma memkwa nini!!!
Soma hayo maandishi unayoyaona kwenye utepe mwekundu!!!
Hakuna cha Mane wala nini. Hii ndio picha ya awali kabla haijakarabatiwa. Na huo ulikuwa mwaka 2005.Ukiangalia mapokezi Aliyopata Sadio Mane Mchezaji wa Liverpool Raia wa Senegal aliyekosa Penati dhidi ya Cameroon utajua kwamba Wazungu wameanza kutambua michango ya watu Weusi anzia kwenye mpira naimani itaenda mpaka kwenye Sekta zingine....