Kwa mapokezi ya Sadio Mane nahisi Wazungu wameshaanza kuelewa umuhimu wa Waafrika

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Ukiangalia mapokezi Aliyopata Sadio Mane Mchezaji wa Liverpool Raia wa Senegal aliyekosa Penati dhidi ya Cameroon utajua kwamba Wazungu wameanza kutambua michango ya watu Weusi anzia kwenye mpira naimani itaenda mpaka kwenye Sekta zingine.

Ni Nadra sana Wazungu kukusanyika kwa Wingi vile kumpokea Mwafrika inaonyesha ni jinsi Mane anakubalika nje na ndani Ya Liverpool.

Tangu mkali huyo wa kupachika nyavu aondoke Liverpool imekua haina matokeo mazuri wakifungwa na Southmpton na pia Wolves na kutolewa Kwenye mashindano mawili ndani ya wiki moja.

Ni zamu ya Mane kulipa Fadhila kwa Wanaliverpool kwa kuhakikisha anaisaidia liverpool kupata matokea mazuri.
MANE MASHABIKI WA LIVERPOOL WAMEKUAMINI NAWE ONESHA UBORA WAKO KIWANJANI NA KUZIDI KULITANGAZA VEMA BARA LA AFRIKA..
 
Trump oyeeeee

By the way Trump ni pumbafu tu na kichaa.
 
Kipigo kipo pale pale, mane hawezi kuiokoa Liverpool kwenye janga la vipigo mfululizo, believe me!
wacha tuone Coutinho alikua majeruhi timu ikayumba kidogo japo walitajaid wakasema sababu Coutinho hayupo Sasa Imekua Mane Ngojea Tuanze na Game ya Chelsea tuangalie Mane ataleta impact gani
Kipigo kipo pale pale, mane hawezi kuiokoa Liverpool kwenye janga la vipigo mfululizo, believe me!
 
wacha tuone Coutinho alikua majeruhi timu ikayumba kidogo japo walitajaid wakasema sababu Coutinho hayupo Sasa Imekua Mane Ngojea Tuanze na Game ya Chelsea tuangalie Mane ataleta impact gani
Mane Bado mtoto mdogo sana kukabidhiwa jukumu kubwa namna hiyo la kuibeba timu mgongo mwake!
 
hiyo picha si ya kipindi kile liverpool kashinda UCL?
 
We jamaa umechukulia hiyo picha ya UCL serious, hakuna mkusanyiko wowote wa kumpokea Mane
Na mimi ndio naelewa hivyo ni utani tu kuelezea jinsi mashabiki wa Liver wanavyomuhitaji Sadio mane kwa kipindi hiki mgumu!
 
Sina maana mbaya ila kama kweli ulifikiri hiyo picha ni ya ukweli.. basi hamna namna nyingine tena
 
huoni welcome back Sadio,ina maana Sadio alikua alikuwepo liverpool ikibeba ucl
Mkuu ni kweli hiyo picha ni ile ya UCL, hayo maneno wameingizia tu. Unaweza jaribu search kwenye google.
 
Inaonekana upombali sana na taarifa, hiyo picha ni ya kitambo sana na naona mmeongezea photoshop eti kumkaribisha Sadio, hovyo kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…