Trust me bro! Your brain still needs you. Kwa hiyo umeshindwa kujiongeza kwamba hayo maandishi yakuedit? Halafu wewe ni Jf expert member vitu vidogo namna hii unashindwa kuelewa vipi vikubwa?! Usiutenge ubongo wako unapotoa mawazo yako. Ona sasa unavyojidhalilisha.
Ukiangalia mapokezi Aliyopata Sadio Mane Mchezaji wa Liverpool Raia wa Senegal aliyekosa Penati dhidi ya Cameroon utajua kwamba Wazungu wameanza kutambua michango ya watu Weusi anzia kwenye mpira naimani itaenda mpaka kwenye Sekta zingine....