PostGE2025 Kwa mara nyingine Polisi wakanusha matukio ya TFF, wasema hawajafanya uhalifu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wasituchanye kwenye ugomvi wao Sisi wala hayakuhusu😁
 
Wasituchanye kwenye ugomvi wao Sisi wala hayakuhusu😁
Sasa mfano unasikia wasira amepitiwa na wahuni wa TFF hivi ukisikitika si utaonekana mnafiki wajameni😅

Au unasikia Murilo walimbananisha Njia ya kwenda kwao kimara hata ujifanye umefiwa na ukoo mzima ili utoe machozi,hayaji😁

Polisi Wasituchanganye kwenye vita yao bana!

Kwanza tuna majonzi watoto wetu hawaonekani tangu October.
 
hili swala la wanaojita tff nalifuatilia kwa kina kupitia jamii mbalimbali
 
Polisi wa Tanzania ni thugs na watu tumehalalisha matendo yao kwa kuchulia poa tu. Ifike wakati tuseme NO
 
Ulikuwa wapi miaka yote hii mkuu 'Mbaga Jr'?

Sasa naona matumaini makubwa juu ya taifa letu hili, kama akina 'Crimea, Etwege' na wengine wengi nao sasa wanaona michipuko mipya kila sehemu ya taifa hili.
Mpaka crimea? Ukombozi umekaribia.
 
Sasa polisi wanalipwa mshahara wa nini kama raia ndo wanatakiwa kufanya upelelezi wa kiintelijensia????
 
Ulikuwa wapi miaka yote hii mkuu 'Mbaga Jr'?

Sasa naona matumaini makubwa juu ya taifa letu hili, kama akina 'Crimea, Etwege' na wengine wengi nao sasa wanaona michipuko mipya kila sehemu ya taifa hili.
Wewe unashindwa kuelewa ni kwamba mtu kuwa huru au kutokuwa na chama haimanishi yeye ni CCM au ni Chadema anapotoa mtu hoja usiangalie hoja imeegemea upande upi? Bali nguvu ya hoja yake kutokana na nilichoaniaha hapo ndio mnapokoses kuanalyse mtu na kumpa uchama wakati yeye Hana itikadi za chama mfano mzuri ni Kama mmeshindwa kuwaelewa Mbaga Jr Crimea
 
Mbona wanatumia nguvu nyingi hivyo kukanusha? Ukiona polisi wanakanusha kwa nguvu hivyo, ujue hali ni mbaya. Hicho kikundi kitawamaliza wahalifu wote waliowaua raia ovyo kwa risasi MO29.
 
Hii TFF ni project ya polisi hao hao ili kutuzuga.
 
Sasa polisi wanalipwa mshahara wa nini kama raia ndo wanatakiwa kufanya upelelezi wa kiintelijensia????
Inawezekana umeandika maneno haya kwa sababu tu huna upeo wa kutosha zaidi ya unachojuwa kama ulivyojieleza hapa.
Nimeona nisipoteze muda kukupa maelezo ya ziada kukuondoa ujinga huo unaoonekana wazi kabisa unakuhsu katika maswala kama haya.
 
Mtu pekee anayeshindwa kuelewa nilichoandika hapo na wewe kukijibu ni wewe mwenyewe!

Sijaandika popote kuhusu CCM au CHADEMA; lakini wewe umejitwalia mamlaka na kunisemea kuwa maandishi yangu yanahusiana na vyama hivyo. Hayo wewe umeyatoa wapi?


Ili nisikufunge bure katika kambi isiyoeleweka, nifahamishe wewe hao "Mbaga na Crimea" wanasimamia nini kutokana na wewe unavyowafahamu

Mimi nawafahamu kwa maneno yao wanayoweka humu ndani ya JF. Nieleze wewe unawafahamu kwa njia zipi?
 
Hoja zao huwa hazina itikadi ya vyama wanatoa hoja kulingana na vile wanavyoamini
 
Hoja zao huwa hazina itikadi ya vyama wanatoa hoja kulingana na vile wanavyoamini
Basi inawezekana wewe na mimi huwa tunasoma maandishi yao kwa njia tofauti sana, au huenda kuna majukwaa mengine ya siasa ambako wewe na mimi hutembelea na kukuta maandishi yao tofautitofauti katika kila kumbi wanakochangia..

Sina maelezo zaidi ya hapo.
 
Inawezekana umeandika maneno haya kwa sababu tu huna upeo wa kutosha zaidi ya unachojuwa kama ulivyojieleza hapa.
Nimeona nisipoteze muda kukupa maelezo ya ziada kukuondoa ujinga huo unaoonekana wazi kabisa unakuhsu katika maswala kama haya.
Ni Kwamba huna uweledi na kitu unacho kisema. Nakuona umejaa uchawa tu.
 
Ni Kwamba huna uweledi na kitu unacho kisema. Nakuona umejaa uchawa tu.
Huu "uchawa" imekuwa bidhaa mnayoiuza?

Utaanzia wapi kwa mtu kama wewe kunihusisha na "uchawa"; na uchawa kwa kitu gani au nani?

Hivi zinakutosha kweli?
 
Hapa naona kuna kundi linajichanganya na halitaki kukubali hali halisi inayoendelea nchini. Tutafika tu
 
Hatuwezi kufafana mkuu kwenye mawazo kwasababu kila mtu ana ufahamu wake ni vema ukawa na utamaduni wa kuheshimu mawazo ya watu wengine hata kama hayakupendezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…