THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Habari za mchana huu.
Leo nimeshangaa sana Yani boss aniombe msamaha kumbe ana jambo lake haya maisha.
Leo nimeshangaa sana Yani boss aniombe msamaha kumbe ana jambo lake haya maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai unampa pole ya niniPole sana mkuu
Ya nidoChai
Nikupe na maandaziChai unampa pole ya nini
Na remain joblessKaribu tuuze miguu ya kuku maana ndiyo mtaji unaruhusu.
Boss ni mngeseInaonekana bosi wako ni mtu wa watu sana....usiache kazi kwenye hiyo kampuni😁
unamanisha wake au mfanano tu
ShukranPole sana mkuu
Who are these people ?
Ndugu ze beecatcher pole,ila pia inaonyesha boss muungwana.Habari za mchana huu.
Leo nimeshangaa sana Yani boss aniombe msamaha kumbe ana jambo lake haya maisha.