Kwa mara ya kwanza christmas nje ya dar

Kwa mara ya kwanza christmas nje ya dar

usikute ata wewe ni chakula cha mtu koo ukiondoka utakua umemuacha dillema baasha wako
 
Hivi mvulana unatumia neno shee? Like seriously?? [emoji1]
 
manengelo una nini?eti bora kuzaa mtoto wa kike nimecheka sana.
😂😂 mie toka niijue jf eti naona wanaume humu wanaongoza kwa :
kushindwa kuandika vizuri..hizo sarufi mnazoita sijui
wanaongoza kwa kuanzisha sred za ajabu ajabu km hizi..
nadra kidg kumkuta mwanadada anaanzisha sredi zisizo na kichwa km hizi...nasema tena nadraaa sana...angalia majina ya wanawake humu km utakuta wanachapia kwenye r au l au h..wachache sana..njoo sasa kwa haya mavimpire😏
 
Back
Top Bottom