Kwa mara ya kwanza Dar, nashuhudia ukungu

Labda kama Dar umekuja juzi ,Ukungu nje ya mji ni kawaida sana hasa kipindi cha baridi.

Hapo kigogo /Mivinjeni/Mburahati-Mabibo?
 
Wakazi wa Dar ongezeni UmakinišŸ™

Kimbilieni Kanisani Kwa wingi tubuni dhambi na kumrudia Mungu,ndio salama yenu,

Malaika mharibifu tayari Yu malangoni na manabii wamekwisha tahadharisha.

Kama vile Musa alivyomuinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu aliinuliwa msalabani Ili Kila amtazamaye ATAOKOKA.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
 
Mbona ni karibu kila msimu huu kuna baadhi ya siku huwa hivyo nyakati za asubuhi na mapema, haswa vitongoji vilivyo miinukoni kama Mbezi Mwisho, Goba, Madale, Tegeta Wazo, Mpiji, Kisukuru, Pugu n.k...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…