Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Mimi kabisa labda utoto ulikuwa unanisumbua au niseme ussta duu eti nihonge mwanaume chaiiiiii naanzaje kwa mfano?

Asikwambie mtu yani unaenda kumdangia mwanaume huna mpango naye alafu anakukopaa inaumaa hiyoo balaaaaa yani unakazana kumkatikia mauno kama yote alafu hupati hata mia.
Mimi toka niwe kwenye mahusiano mbalimbali sjawahi kuhonga ndo nimeanza leoo.



Sasa mwenzenu kama kulogwa hii ni mpya yani LIMBWATA MKOLEO kwa mara ya kwanza nimemtumia hela ya bundle shemeji yenu inabidi mnipongeze kwa mabadiliko hayaaa.


Nyongeza:

Mnaosema mm mzee bitukinao mniache[emoji57][emoji57][emoji57]mm bado binti mbichi chuchu konzi mtoto kama wa jana looh mtoto mwenye usichana wake yani bado nipo kwenye kwenye ishirini na ......... msinizeeshe mxeweew.



 
hheeeeee wifi jaman wewe!sio kuhonga huko..huo ni upendo tu!msalimie sana kaka mshana
 
Ahhahhahaa umepatikana. Halafu mbona haujatandika shuka mami au ndiyo mmejigijigii hadi shuka likatoka??
Mimi pia namhonga Mume wangu sumbai . nikipata mshahara ndiyo anazidisha mapenzi ili anichune tuu.
Nimetoa kabisa na mashuka leo weekend usafi kama woteee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…