Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

Kwenu Moro Eh? Sasa umeijaza levo siti Au na kusimamisha? Maana nilikuwa nafikiria kwenye list ya wakushika bomba!
Wamejaaa abood kama zote wengine wamebaki stand
 
Hahahahaa kumbe umemtumia Jr Junior hapo haujaonga bali umerudisha sehemu ya fadhila Demiss.
 
Kutoa ni moyo siyo utajiri na hiyo ilikuwa ni ridhiki yake tu
 
Naomba nami unitumie chenji iliyobaki
Hiyo hapooo
20180916_181640.jpg
 
Mimi kabisa labda utoto ulikuwa unanisumbua au niseme ussta duu eti nihonge mwanaume chaiiiiii naanzaje kwa mfano?

Asikwambie mtu yani unaenda kumdangia mwanaume huna mpango naye alafu anakukopaa inaumaa hiyoo balaaaaa yani unakazana kumkatikia mauno kama yote alafu hupati hata mia.
Mimi toka niwe kwenye mahusiano mbalimbali sjawahi kuhonga ndo nimeanza leoo.



Sasa mwenzenu kama kulogwa hii ni mpya yani LIMBWATA MKOLEO kwa mara ya kwanza nimemtumia hela ya bundle shemeji yenu inabidi mnipongeze kwa mabadiliko hayaaa.


Nyongeza:

Mnaosema mm mzee bitukinao mniache[emoji57][emoji57][emoji57]mm bado binti mbichi chuchu konzi mtoto kama wa jana looh mtoto mwenye usichana wake yani bado nipo kwenye kwenye ishirini na ......... msinizeeshe mxeweew.



View attachment 868241
Ngoja nkomae na hiyo namba kwanza nitacomment baadae
 
Dah...afadhali..maana hali ya Profesa Mshana Jr ilikuwa tete..tulisha mchoka kwa vizinga.....[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji41]
 
Back
Top Bottom