Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

nisiwasemee wengine... ila mimi binafsi siwezi...maybe yangekuwa yana last at least miezi mitatu ningeweza japo kwa mbinde...

utetezi wangu mkubwa utakuwa kwan ukipaka nnayopaka mimi utachubuka ngozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm level kubwa napaswa kutumia vitu vinavyoendana na hadhi yanguuu
 
Ahhahhahaa umepatikana. Halafu mbona haujatandika shuka mami au ndiyo mmejigijigii hadi shuka likatoka??
Mimi pia namhonga Mume wangu sumbai . nikipata mshahara ndiyo anazidisha mapenzi ili anichune tuu.
Dah...

Mke/ mume anapewa tuu. Mimi si ndio mhasibu na wewe mtunza pesa
 
Hhhhhh no comment [emoji28]
 
hiv hawa wanaume wanaokaaga kulialia kwa wapenzi wao huwa wanajisikiajee?? mi siwez kabsa yaan!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…