Dashdown
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 403
- 442
Kuhonga lazimaa
Jitahidi maana huyo mzee wa matunguli akikuacha utabaki na laana zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhonga lazimaa
Nakuja kwa speed ya lightKatika member walionifaidi wewe unaongoza njoo basi tsap nikupe diliii
Sjui nitampata nan wa kunisitir
Hahahhaha eti eeeh
Kwann wasema hivyo
Hahahahha na wewe mchawi
hongera kwa kutimiza 50/50 hadi kwenye masuala ya mshiko msiwe mnaishia kwenye mambo mengine tu 😂😂😂Abeeeeeh
Ndo ulichokiona why[emoji23][emoji23]
yeah nice name.... got direct meaning siyo sisi wengine hadi uende kwenye server za wazungu ujue jina lako lina maana gani 😂😂😂Hahahahha ndo zakoo yani umezoom mm zawadi kutoka kwa mungu jina la kipeekeeee
nisiwasemee wengine... ila mimi binafsi siwezi...maybe yangekuwa yana last at least miezi mitatu ningeweza japo kwa mbinde...Wewe jibu si umepata alafu sasa week tu imeisha kuna mwanaume ataweza hiyo gharama