Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

nimezoom nimeona kitu cha OG dr bauer...... haha girls mna matata sana yani $ 66 unajipaka mwilini tu 😂😂😂😂 au hii yako haijafika huko Demiss
 
nimezoom nimeona kitu cha OG dr bauer...... haha girls mna matata sana yani $ 66 unajipaka mwilini tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au hii yako haijafika huko Demiss
Wewe jibu si umepata alafu sasa week tu imeisha kuna mwanaume ataweza hiyo gharama
 
Hahahahha ndo zakoo yani umezoom mm zawadi kutoka kwa mungu jina la kipeekeeee
yeah nice name.... got direct meaning siyo sisi wengine hadi uende kwenye server za wazungu ujue jina lako lina maana gani 😂😂😂
 
Wewe jibu si umepata alafu sasa week tu imeisha kuna mwanaume ataweza hiyo gharama
nisiwasemee wengine... ila mimi binafsi siwezi...maybe yangekuwa yana last at least miezi mitatu ningeweza japo kwa mbinde...
na hapo usiniombe tena hela ya perfume wala spray au saloon hadi yaishe 😂😂

utetezi wangu mkubwa utakuwa kwan ukipaka nnayopaka mimi utachubuka ngozi 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom