St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Black beautySiyo wa nchi hiiii
Huhuuuuu nakuzoom kwa mbali naenjoy peke yanguu hahahha
Ile yako kabisa uliwekagaIpi nikumbushe niwekeew
chillaxHahahah unanishawishi ujueee maaaaa
Sasa hapo si unaondoa natural yenyewe ni sawa na kuwa Mpare lakini unasema MchaggaEwaaaaah
Loh! Hongera kwako na kwa aliyepokea huo muamalaNilikuwa nazitupia tu kwenye mkoba nimezifuma leooo
Ndiyo ulishaisahauYa uso tu
wwwwoooozzzzzzzzaaaaa!kama yooote mwaaaaaaaaaaaaa![emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]taratibu na mabusu kama yoteee
Ok. lakini inaonesha ni mrembo sana ndio maana kaka mshana jr akaamua uwe mwenza wake wa milele.Soma vizur hiyo wala haiondoi inapendezesha tu
kumbe ni Bw. Mshana!! Hebu niangalie vizuri....anhaaa kweli aisee jamaa miziz yake ina nguvu walahiMshana huyo asante kwa niaba