Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nn hyo mamyAlafu ile unayoipendaa
Sio kidogo we acha tu, bahati hiziBalaa
PouwaaaWaooh hata mm naachaje kuwamiss warembo wangu hapa najiandaa nataka nikatafute kuku choma mwanga bar nitarud ngoja nipige bafuuu
Ulichukua Astashahada au Stashada na ya nini?Form 4 nikaenda CBE hapo nahisi umeelewa
Ndiyo mkuuDuuu hii id yako kwakweli?
One day yeah,Sio kidogo we acha tu, bahati hizi
Kukiwa na 12:00 kifuani, naenjoy sana.Ewaaah kwann tunakufurahishaa
Yaan elfu 35,000 ndo unamzalilisha mshana? Kua umeonga ela?Mimi kabisa labda utoto ulikuwa unanisumbua au niseme ussta duu eti nihonge mwanaume chaiiiiii naanzaje kwa mfano?
Asikwambie mtu yani unaenda kumdangia mwanaume huna mpango naye alafu anakukopaa inaumaa hiyoo balaaaaa yani unakazana kumkatikia mauno kama yote alafu hupati hata mia.
Mimi toka niwe kwenye mahusiano mbalimbali sjawahi kuhonga ndo nimeanza leoo.
Sasa mwenzenu kama kulogwa hii ni mpya yani LIMBWATA MKOLEO kwa mara ya kwanza nimemtumia hela ya bundle shemeji yenu inabidi mnipongeze kwa mabadiliko hayaaa.
Nyongeza:
Mnaosema mm mzee bitukinao mniache[emoji57][emoji57][emoji57]mm bado binti mbichi chuchu konzi mtoto kama wa jana looh mtoto mwenye usichana wake yani bado nipo kwenye kwenye ishirini na ......... msinizeeshe mxeweew.
View attachment 868241
Kwan hujui huyu mkuu wetu ni kondaktaMbona kuna buku buku nyingi kuliko wekundu wa msimbazi?