Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana.
Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa.
Kwenye sheria yao mpya madada poa (prostitutes) watatakiwa kupewa mikataba na kampuni wanazofanyia kazi kama wafanyakazi wa sekta nyingine.
Sheria hiyo itawagusa madada poa ambao wako kwenye kampuni zilizosajiliwa tu na wale madada poa ambao wanafanya kazi kwa kujiajiri hawataguswa na sheria hii.
Ukiachana na mikataba minono, pia madada poa watapewa na kitufe maalum ambacho wanaweza wakakibonyeza pindi wakihisi wakiwa kwenye hatari ya kubakwa, kupigwa au kudhalilishwa.
============================================================
Sex workers in Belgium have been given the right to health insurance, maternity leave, sick pay and other employment benefits under a new world-first law.
The new legislation will allow sex workers to enter into employment contracts and benefit from the same rights and legal protections as any other employee, which also includes pension, unemployment benefits and annual vacation.
Consensual prostitution was already decriminalized in the European country but until now it existed under a legal gray area.
The new law does not apply to self-employed sex workers but will prevent employers with a previous history of crimes, such as trafficking or abuse, from working in the field. By law, they will also have to provide a safe working environment equipped with alarm buttons.
Sex workers will also be able to refuse any client or sexual act without the fear of being fired or punished for doing so.
Source: CBS News