Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Kwa Mara ya kwanza Grand P akutana Na ex girlfriend wake Na siku za nyuma kidogo alikua akiomba mtu anaeweza kuwakutanisha tena Na ex wake ili amwombe msamaha wasahau ya kale, wajenge yajayo
Nahisi atakua amefanikiwa [emoji7] Grand P Kwa wale wasiomfahamu ni huyo wa upande wa kulia Na huyo ambaye yupo kati yao Ndio aliyewafanya wakutane Na ex girlfriend wake ni huyo mwanamke umuonae pichani
Tutarajie Couple hii kurudiana tena [emoji1488][emoji1488]