Kwa mara ya kwanza Grand P akutana na ex wake

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Kwa Mara ya kwanza Grand P akutana Na ex girlfriend wake Na siku za nyuma kidogo alikua akiomba mtu anaeweza kuwakutanisha tena Na ex wake ili amwombe msamaha wasahau ya kale, wajenge yajayo

Nahisi atakua amefanikiwa [emoji7] Grand P Kwa wale wasiomfahamu ni huyo wa upande wa kulia Na huyo ambaye yupo kati yao Ndio aliyewafanya wakutane Na ex girlfriend wake ni huyo mwanamke umuonae pichani

Tutarajie Couple hii kurudiana tena [emoji1488][emoji1488]

FB_IMG_1662314018535.jpg
 
Eti huyu jamaa nalingana nae umri jamani dah😅😅
 
Kwa Mara ya kwanza Grand P akutana Na ex girlfriend wake Na siku za nyuma kidogo alikua akiomba mtu anaeweza kuwakutanisha tena Na ex wake ili amwombe msamaha wasahau ya kale, wajenge yajayo

Nahisi atakua amefanikiwa [emoji7] Grand P Kwa wale wasiomfahamu ni huyo wa upande wa kulia Na huyo ambaye yupo kati yao Ndio aliyewafanya wakutane Na ex girlfriend wake ni huyo mwanamke umuonae pichani

Tutarajie Couple hii kurudiana tena [emoji1488][emoji1488]

View attachment 2345785
Huyo peace keeper ndio mla nyama
 
Back
Top Bottom