Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
๐KUTOKANA NA HII PICHA INAONEKANA KAJAMAA MSHIPA KANAO๐๐๐
Hakana Mshipa, ila kana hela.KUTOKANA NA HII PICHA INAONEKANA KAJAMAA MSHIPA KANAO๐๐๐
Ni kweli lakini huu uzi Hauna uhusiano na uchawiUchawi upo nduguzanguni
Huyo peace keeper ndio mla nyamaKwa Mara ya kwanza Grand P akutana Na ex girlfriend wake Na siku za nyuma kidogo alikua akiomba mtu anaeweza kuwakutanisha tena Na ex wake ili amwombe msamaha wasahau ya kale, wajenge yajayo
Nahisi atakua amefanikiwa [emoji7] Grand P Kwa wale wasiomfahamu ni huyo wa upande wa kulia Na huyo ambaye yupo kati yao Ndio aliyewafanya wakutane Na ex girlfriend wake ni huyo mwanamke umuonae pichani
Tutarajie Couple hii kurudiana tena [emoji1488][emoji1488]
View attachment 2345785
Sina uhakikaHuyo peace keeper ndio mla nyama