Kwa mara ya kwanza HAMAS waonekana kujali maisha ya Wapalestina, waomba Rafah isivamiwe

Kwa mara ya kwanza HAMAS waonekana kujali maisha ya Wapalestina, waomba Rafah isivamiwe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mpaka sasa HAMAS wameshaelewa muziki wa Myahudi, kwamba Myahudi ni katili, hajali hata ukijificha nyuma ya akina mama na watoto, anafyatua tu, walijaribu hizo mbinu aisei Wayahudi wakawa wanapiga tu hadi ikaleta ukakasi, na hata makelele ya sijui ICJ au Afrika Kusini au hata Waarabu hayakufanya Israel ipunguse kasi.

Sasa Israeli imesema inakwenda kupiga Rafah, huko ambako HAMAS wamehamia kama ngome yao ya mwisho, tatizo huko na kuna wakimbizi wa kila aina, HAMAS wamejimix ndani kwa ndani, ila HAMAS kama walivyoshuhudia, kwamba Israeli wakija kupiga hawatajali, na ndio imepelekea kwa HAMAS kuomba busara itumike maana kutakua na maafa sana.

Sikujua kuna siku HAMAS watajali maisha ya Wapalestina, waliwatumia kama ngao siku zote.

===============

Hamas warns that there could be “tens of thousands” of dead and injured if the Israeli military attacks Rafah, in the far south of the Gaza Strip.

Prime Minister Benjamin Netanyahu this week said he had ordered troops to prepare to go into the city, crowded with displaced Palestinians, as it hunts down those responsible for the deadly October 7 attacks on southern Israel.

Hamas says in a statement that any military action would have catastrophic repercussions that “may lead to tens of thousands of martyrs and injured if Rafa is invaded.”

The terror group says it would hold “the American administration, international community and the Israeli occupation” responsible if that happened.

Kama bado kuna mateka waachie huru na kuweka silaha chini, kwa sababu huwezi kupigana na mtu ambaye amesalimu amri, kwa kufanya hivyo itawasaidia hata jamii za kimataifa kuingilia kati na kuibana Israel, lakini kama hamasi wanaendelea kurusha risasi na bado wameshikilia mateka au maiti za mateka hiyo kitu inawapa uhalali wa kuendelea kushambuliwa. Iran imewasaliti Wapalestina.
 
Kosa kubwa walilofanya HAMAS ni kuteka raia wasio na hatia hii imesababisha kuuawa wapalestina wengi huku Israel ikitumia mwamvuli wa kuwakomboa mateka mikononi mwa Hamas.
Hadi Leo sijaona faida HAMAS wamepata baada ya uhuni waliofanya, Hamas wamepoteza kilakitu tofauti na hapo mwanzo na hata misri wenyewe wametuma jeshi Lao mpakani kuwazuia wakimbizi wa Palestine kuingia nchini mwao.

Kwa kifupi hii vita imeingia kwenye angle mbaya Sana Kwa HAMAS kwasababu hapo rafah wakifanya tena uhuni wa kurusha rocket watakufa watu wengi Sana
 
Wanafuata Story zao za zamani kuwa Allah ni Kubwa hivyo uhuni wowote wakifanya watalindwa nae na kuwapa ushindi..kumbe Uislam ni njia ya upotevu na wamepotea haswa.. Tafsiri ya neno Ilsam ni Surrender so wafanye tu uislam wa surrender kwa Taifa Teule.. pia wakumbuke kuwa Israel ndio ardhi aliyopewa Musa kwa Waisrael wote na sio Arabs... wasome Quran Vizuri they wil never win any war against Israel..
 
Mpaka sasa HAMAS wameshaelewa muziki wa Myahudi, kwamba Myahudi ni katili, hajali hata ukijificha nyuma ya akina mama na watoto, anafyatua tu, walijaribu hizo mbinu aisei Wayahudi wakawa wanapiga tu hadi ikaleta ukakasi, na hata makelele ya sijui ICJ au Afrika Kusini au hata Waarabu hayakufanya Israel ipunguse kasi.

Sasa Israeli imesema inakwenda kupiga Rafah, huko ambako HAMAS wamehamia kama ngome yao ya mwisho, tatizo huko na kuna wakimbizi wa kila aina, HAMAS wamejimix ndani kwa ndani, ila HAMAS kama walivyoshuhudia, kwamba Israeli wakija kupiga hawatajali, na ndio imepelekea kwa HAMAS kuomba busara itumike maana kutakua na maafa sana.......
Sikujua kuna siku HAMAS watajali maisha ya Wapalestina, waliwatumia kama ngao siku zote.
===============

Hamas warns that there could be “tens of thousands” of dead and injured if the Israeli military attacks Rafah, in the far south of the Gaza Strip.

Prime Minister Benjamin Netanyahu this week said he had ordered troops to prepare to go into the city, crowded with displaced Palestinians, as it hunts down those responsible for the deadly October 7 attacks on southern Israel.

Hamas says in a statement that any military action would have catastrophic repercussions that “may lead to tens of thousands of martyrs and injured if Rafah… is invaded.”

The terror group says it would hold “the American administration, international community and the Israeli occupation” responsible if that happened.
hawajawajali wapalestina bali wameona misri kafunga mpaka , so israel akifika hapo hakutakuwa na njia ya kutokea tena , ni bora wayamalize mapema tu
 
IDF inafanya kazi Nzuri Eshima itakuwepo na Ujinga waliofanya Hamas hawatarudia Tena wakikaa Kwenye vikao vyao wataonyana Mtegemea Cha Ndugu hufa Masikini
 
Kama bado kuna mateka waachie huru na kuweka silaha chini, kwa sababu huwezi kupigana na mtu ambaye amesalimu amri, kwa kufanya hivyo itawasaidia hata jamii za kimataifa kuingilia kati na kuibana Israel, lakini kama hamasi wanaendelea kurusha risasi na bado wameshikilia mateka au maiti za mateka hiyo kitu inawapa uhalali wa kuendelea kushambuliwa. Iran imewasaliti Wapalestina.
Mdogo-mdogo dawa inawaingia HAMAS na Maswahiba wa Waarabu. Waliambiwa kwamba huyo Jamaa(IDF) huwa anamaanisha anachokisema. Hana masihara. Na IDF wakaenda mbali kidogo wakatamka wazi kwamba Azma / Lengo lao kuu ni KUIFUTA HAMAS kwenye uso wa Dunia. Wao HAMAS wakakaza shingo.
 
Iran imewasaliti Wapalestina.
No.. Iran kaogopa. Anajitambua.
Anajua hana uwezo wa kukabiliana na Israel.
Pia, ule mziki wa B1 Bombers wiki iliyopita kwa vikaragosi wake, hataki urejewe tena
 
Ila netanyau ni katili kuliko hao hamas ..na watauawawa kama kuku ..yan watapigwa mabomu aisee..
 
Magaidi ya kidini hamas na wenzake wajifunze wasidhani myahudi anacheka na nyani.
 
Back
Top Bottom