Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Attachments

  • DDBE29CC-E6EC-4353-9BFC-76B5045A0ADA.jpeg
    43.3 KB · Views: 1
TISS ndo walikubali kipengele cha bandari kuchukuliwa milele pasina nafasi ya nchi yetu kuterminate mkataba hata tusiporidhishwa?
Hicho kipengele cha Bandari kuchukuliwa milele kipo wapi?
 
Acha kutapika. Mkataba wa DP world una mapungufu japo nia ni njema. Mapungefu hayo yareje ishwe na kazi iendelee. Usilete ujinga kwenye kundi la werevu
 
Kuza thread zingine bora kunywa gongo kuliko kusisoma. Zinaua hata stimu za kujifariji na huu ukata wa bongo
 
Acha kutapika. Mkataba wa DP world una mapungufu japo nia ni njema. Mapungefu hayo yareje ishwe na kazi iendelee. Usilete ujinga kwenye kundi la werevu
Angalia uzi wa lini alafu fuatilia maandamano na press ya Lissu ya jana. Hakuna kutapika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…