Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wanawake wengi hatupendo kuongelea hili, kwa kuogopa na kuonwa wahuni. Leo naomba tujimwage hapa, Je, wewe ulibeba mimba ya kwanza ukiwa na umri gani?
Sijasema ulizaa na umri gani, ulibeba mimba na umri gani?
Sijasema ulizaa na umri gani, ulibeba mimba na umri gani?