Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee mwache handsome wangu, hata picha sikuonyeshi maana utamganda. Ni tall and handsome. Watu wanahisi ni my boyfriend inaboa. Au mdogo wangu. Kuzaa haraka unakuwa sawa na mtoto!Luv hebu nidokeze kuhusu ur son!! Naweza kuwa mkweo ujue.
Sasa wee una kijana na hunambiii? Sijapentraaaaa
Nataka tutokee kwenye ukaribu, tuwe ndugu luv.
[emoji8][emoji8][emoji8]
Alikuoa?Nilibeba mimba nikiwa na miaka 24, hapo nimetoka kuajiriwa nimepokea mishahara yangu kama mitatu hivi, Yule Baba akanitegeshea mimba🤣🤣🤣
Natimiza 25 huku nna kitoto changu Alhamdulillah🤣
Alinioa chap, alinitegeshea ili anioe, Mimi nilikuwa sipo tayari kuolewa wakati ule.....ilibidi nilegeze msimamo niolewe tu🤣Alikuoa?
HongeraAlinioa chap, alinitegeshea ili anioe, Mimi nilikuwa sipo tayari kuolewa wakati ule.....ilibidi nilegeze msimamo niolewe tu🤣
Kama uliolewa na mimba na ww ni muislamu hiyo ndoa ni batili rudini mkafunge ndoa tenaNilikuwa namuamini, siku zote tulikuwa tunatumia njia ya kupull out, Ila Ile siku aliamua kufanya kusudi.....basi nikasema mimba sitoi, nikapigwa ndoa ya mkeka chap......ndo tupo hadi Leo🤣🤣🤣🤣
Wazee wa fat'wa nilijua lazima mje🤣🤣🤣 Tunajua tulichokifanya.......nikuhakikishie ndoa ni valid.Kama uliolewa na mimba na ww ni muislamu hiyo ndoa ni batili rudini mkafunge ndoa tena
Ulitakiwa uzae kwanza hlf ndipo uolewe
Hongera sana ndugu yangu, mshukuru sana mwenyezi Mungu.Nilibeba mimba bila kujua,,, jamaaa alipiga wanaita hati triki sikuwahi kutapika sijui kichefu chefu wala udongo nilijua nina mimba wiki ya 35.siku naumwa uchungu nilikua nimelewa sikua na maandalizi yoyote mama mkwe na mtoto wake walinisaidia sana...... Leba nilikua kituko nesi alikua mkali akapoa mwenyewe sukuma anakuja mwingine!. Na huo ukawa mwanzo wa mimi kutulia na kuanza maisha mapya.... Mwaka na nusu badae kitu hii ikawa wawili ulezi wake sio mchezo ukipata dada leo kesho anaaga nikaona isiwe tabu nikatafuta mbibi na mkaka... Hapa naandika msg usingizi umekata kulea lundo la watoto sio mchezo bora wanaozaa mmoja mmoja.