Kwa mara ya 'kwanza kabisa' ulibeba mimba ukiwa na umri gani?

Kwamba Jaji Mfawidhi ni mwanamke?
Mtani wangu PEndaeli, unatoka Vudee, jikite kwenye swali hapo juu ,kaka yako
Nilibeba mimba nikiwa na miaka 24, hapo nimetoka kuajiriwa nimepokea mishahara yangu kama mitatu hivi, Yule Baba akanitegeshea mimba🤣🤣🤣
Natimiza 25 huku nna kitoto changu Alhamdulillah🤣
Hongera shosti, sasa baba ndio alitegesha mimba au wewe ulikuwa ovulation na ukampa kama yote?
Kwanini wakati anakaribia kufika hukuch*moa kwa kumsukuma juu?
 
Nilikuwa namuamini, siku zote tulikuwa tunatumia njia ya kupull out, Ila Ile siku aliamua kufanya kusudi.....basi nikasema mimba sitoi, nikapigwa ndoa ya mkeka chap......ndo tupo hadi Leo🤣🤣🤣🤣
 
Nilivyo soma kichwa cha mada na mleta mada ni jaji mfawidhi na mimi firka zangi zote najua jaji mfawidhi na mwanaume! Nikasema ngojea nione mwanaume mwenzangu anauliza swali la namna hii, kuingia ndani nakuta jaji ni mwanamke!!

Lingekua swali linauliza ulibebesha mimba ukiwa na umri gani ningejibu.
 
Nilikuwa namuamini, siku zote tulikuwa tunatumia njia ya kupull out, Ila Ile siku aliamua kufanya kusudi.....basi nikasema mimba sitoi, nikapigwa ndoa ya mkeka chap......ndo tupo hadi Leo🤣🤣🤣🤣
Ooh, ndo baba watoto , hongera sana.
Hii njia ya ku-pull out wenentu tuwafunze, tusione aibu kwasababu mwanaume akikaribia anajulikana tu, hata awe nani!
 
Wanawake ongeeni ukweli ili wadogo zenu wajifunze pia sasa kila mmoja wenu akijifanya yeye ni mtakatifu hapa hamtasaidia kitu..
Msiogope vivuli vyenu wenyewe..!
 
Nilibeba mimba nikiwa na miaka 24, hapo nimetoka kuajiriwa nimepokea mishahara yangu kama mitatu hivi, Yule Baba akanitegeshea mimba🤣🤣🤣
Natimiza 25 huku nna kitoto changu Alhamdulillah🤣
Mwana kulifind mwana kuligetii..mimba unapanga wew ucseme mwamba kakutegeshea uliitaka wew ..🤔🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…