Kwa mara ya kwanza kuingia jf

Kwa mara ya kwanza kuingia jf

Trubetzkoy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
349
Reaction score
678
Habari mabibi na mabwana,mimi ni mgeni kabisa humu ndani naomba mnipokee mimi member mwenzenu.
Nitafurahi kuona nikipokelewa kwa mikono miwili.
Asanteni!
 
Karibu sana mkuu huku jf mimi ndio napokea wageni wote naomba unione
 
Mimi nimekupokea kwa mikono mitatu

Kwanini heading yako uandike kwa mara ya kwanza....unajishuku?

Unaomba tukupokee unatujua......?
 
Mimi nimekupokea kwa mikono mitatu

Kwanini heading yako uandike kwa mara ya kwanza....unajishuku?

Unaomba tukupokee unatujua......?
Nimeona si vema kusema nimeingia JF kwa Mara ya pili ilhali hii ndo Mara ya kwanza
 
Habari mabibi na mabwana,mimi ni mgeni kabisa humu ndani naomba mnipokee mimi member mwenzenu.
Nitafurahi kuona nikipokelewa kwa mikono miwili.
Asanteni!
Utafurahi kuona ukipokelewa kwa mikono miwili au utafurahi UKIPOKEWA kwa mikono miwili?. na utapenda kuingia jukwaa la wakubwa?
 
Utafurahi kuona ukipokelewa kwa mikono miwili au utafurahi UKIPOKEWA kwa mikono miwili?. na utapenda kuingia jukwaa la wakubwa?
Ndio kiongozi napenda sana jukwaa
la wakubwa naomba niwekwe humo
 
Back
Top Bottom