Kwa mara ya kwanza leo Ndondocha nimefika Dar es salaam huu ndio ushuhuda wangu..

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
2,490
Reaction score
2,965
Habari yenu wanajf nikiwa Morogoro chuo nikapata dharura ya kuja hapa Dar es salaam mara mojaa.

Mengi nimeyaona ikiwa pamoja na kushangaa jiji pamoja na mwendokasi, pia jengo la tanesco pale bila kusahau jangwani na magorofa ya kariakoo.

Mambo ambayo nimeona kwa mtazamo wangu hapa Dar es salaam in kama ifuatavyo.

1) Dar es salaam ni mkoa ambao unawanawake wazuri wengi sana ,sijawahi ona nilijiuliza sana,wana jf Dar es salaam wanaotafuta wasichana jf hivi ni vipofu au ?

2)Dar es salaam ni mkoa wenye asilimia 79% ya wanawake wamejazia nyuma,sasa cjui ni natural au vipi naomba majibu kwa hili.

3)Nimezunguka maeneo ya kariakoo aisee balaa wasichana wa kiislam wamevalia hijabu wazuri balaaaa,aisee Dar es salaam blessed.

Kikubwa ni kua sikuweza kufanya nilichozamilia kufanya Dar es salaam ujanja ujanja mwingi sana.
 
Pia 80% wanawake wa Dar wana vitambi na 85% ni singo mazaz.
 
Maelezo yote yamejaa wadada/wanawake tu kwa asilimia kubwa, hii Dar es salaam haujaona mambo mengine? Hauwezi kufanikisha kilichokuleta kwa kuwa muda mwingi umeutumia kuangalia maua.

Karibu sana Dar es salaam
 
Maua ya Dar unaweza shinda kutwa nzima unashangaa tu, hayaishi yani, fanya kilichokupeleka.
 
Mkuu familia inahitaji urudi mapema karibu sana mkuu
 
Nachukia hilo jiji kutoka rohoni mvua ikinyesha kunanuka hatari, joto kama kwenye tanuru la tofali, msongamano wa watu, makazi, magari, majengo n.k ni wa kufa pipo, mbu n weng ova wanafugwa.

Nilipigwa na butwaa mara ya kwanza kufika pale kwamba watu walio wengi kila mkoa wanawaza na wanapenda au wanakwenda au kuishi kwenye hilo jiji haaaaahahahah amaaah kweli tunatofautiana.jiji kama mwanza ndo jiji kali sana kwa kila nyanja, arusha nayo iko pow kwa hali ya hewa, n.k lakini Dar es salaam ?

Sitaki hata kuisikia kwa kweli ninaenda tuu kule kama kuna kitu muhimu sana ambacho kinapatikana Dar es salaam tuu na huwa nikimaliza kusolve tatizo hilo silali humo mimi, heri nikalale hata morogoro lakini kama sio shida maalumu ambayo kuitatua mpaka mtu aende Dar es salaam yenu hiyo, siendi huko kamwe
 
Jamaa ameishia kuona wanawake tu,
Hujaona kitu cha kuweza kubadilisha maisha yako?
 
Angalia wasi kutatue malinda, Maana unaonekana ni mshamba sana. Umetokea wapi wa kwetu
 
Hahaa
Wewe utakua uliliwa...Dar siyo kwa kupachukia hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…