Kwa mara ya kwanza leo nimesutwa umbea

Na bado haujakoma umekuja tena kuandika huku, ngoja apite asome....
Kesho unafatwa na kikundi cha watu wenye vijora wakiwa na keki mkononi kuja kukusuta.
Hahahaha haya mambo sijawahi fikiri kama huwa yanakuwa hivi
 
Huyo mteja naye ana matatizo na wewe acha umbeya
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…