Kwa Mara Ya Kwanza Naiona Yanga Inayoitakia Mema Timu Ya Simba...!

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Wiki nzima kuelekea Mechi kubwa na El Merrekh ugenini sijaona wala kusikia mwana Yanga yeyote akileta yale Masihara ya mnaenda kupigwa 'Hamsa'..!
Nikajiuliza hii maana yake ni nini? Majibu yake ni haya, kwanza wamejiridhisha pasi na shaka Simba hii sio ya kispoti spoti inaweza kushinda popote.Pili jinsi ligi ya VPL na Kombe la shirikisho(ASFC) inavyokwenda kuna uwezekano mkubwa wa kutoambulia chochote msimu huu...! Sasa wapi pa kuponea? Inabidi kuunganisha nguvu kumsapoti Mnyama ili zile nafasi za CAF kuingiza timu 4 zipatikane....! Ya Mungu Mengi huwezi jua yawezekana hawa hawa kina Sarpong na Fiston wakasaidia JAPO nafasi 1 kati ya zile 4 ikaangukia timu ya Yanga...! Na sisi sote ni waTz wazalendo,kwa hili tunawaunga mkono Yanga..Bravo Yanga. Maana hakuna maana kuendelea kujidanganya 'Eti tutapata Ubingwa'..kwa mwendo huu.
 
Yanga wataibuka kesho saa 10 baada ya simba kufungwa, ila ikishinda watatokomea uko uko kusiko julikana.

Tusidanganyane Yanga hawezi kuitakia mema simba hata siku moja unafiki mmbaya sana bors kuwa mchawi na kigagura
 
Bro,
Yanga wanajua Simba ni timu bora, na moja ya Vigogo vya Africa, hivyo huwezi kusema story za hamsa, labda sie ndo tupige mtu hamsa.
 
Hapana,Yanga awana wema hata chembe,siku zote wanajua yakwamba Simba akifuzu kuingia robo kuna nafasi ya viti maalum.lakini kwanini walikua kimbelembele kamati za mapokezi?

Kitu muhimu cha kuomba ni CAF watoe ruhusa kwa timu zitakazofuzu kuingia robo zichague timu nne za kuingia Klabu bingwa na shirikisho.
Yani kwa hapa Bongo Simba ndo achague timu zipi zikacheze klabu bingwa.
 
yanga aitakie mema nyau fc unajidanganya.

yanga kaamua kufanya mambo yake,nyau mnajistukia na kuwaza mtasapotiwa.

mnapigwa na mwarabu nje ndani na vita anakuja wamalizia hapa kabla mwarabu ajawatoa kabisa kule misri
 
CAF wangekuwa na akili kama zako ingekuwa ni CUF ya lipumba sio CAF ya soko

nyau anapigwa leo
 
Simba inawakilisha TAIFA, hivyo hili ni jambo la KITAIFA.Tuweke tofauti zetu kando. Tuungane wote kuiombea S.S.C ifanye vizuri.... ! Kuingiza timu 4 CAF itakuwa ni fahari ya kila mpenda maendeleo ya Soka la Tanzania....!
 
Yanga wataibuka kesho saa 10 baada ya simba kufungwa, ila ikishinda watatokomea uko uko kusiko julikana.

Tusidanganyane Yanga hawezi kuitakia mema simba hata siku moja unafiki mmbaya sana bors kuwa mchawi na kigagura
Simba inaweza itakia mazuri Yanga?
 
yanga aitakie mema nyau fc unajidanganya.

yanga kaamua kufanya mambo yake,nyau mnajistukia na kuwaza mtasapotiwa.

mnapigwa na mwarabu nje ndani na vita anakuja wamalizia hapa kabla mwarabu ajawatoa kabisa kule misri
Coastal wamewafira bila mafuta hadi mmenyamaza
 
Kesho Utopolo wanapulizwa kule Arusha,na Yondani anawatamani kweli kweli
 
Simba inawakilisha TAIFA, hivyo hili ni jambo la KITAIFA.Tuweke tofauti zetu kando. Tuungane wote kuiombea S.S.C ifanye vizuri.... ! Kuingiza timu 4 CAF itakuwa ni fahari ya kila mpenda maendeleo ya Soka la Tanzania....!
Rais Magufuli alishatoa agizo kuwa tuwe kitu kimoja tunapoitetea nchi. Hivyo tunaisapoti Simba kwa maslahi mapana ya nchi.

Pia points zinazopelekea nchi kuwa na wawakilishi wanne hata Yanga ina mchango wake.
 
Coastal wamewafira bila mafuta hadi mmenyamaza
Coast walibanjua Bikra, kumbuka Utopolo walikuwa hawajaonjwa hawa kwenye ligi ya msimu huu.

Na jana Simba Queens wamechana Bikra ya dada zao, wote wanaugulia maumivu.
 
Coastal wamewafira bila mafuta hadi mmenyamaza
daah jamaa wametutoa bikra ukubwani ila si sawa na nyie mlio bikiriwa angali m~wadogo hata miaka 18 mlikuwa hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…