Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mpendwa wake si tatizoHapo ndo atakua amepotea kabisa, bora ulewe pombe kuliko kulewa "mapenzi".
Ashukuriwe mgunduzi wa ulipaji kodi.
Kanuni tatu za pombeHabari za siku wakubwa
Daah Najilaumu sana.. Jana kwa mara ya kwanza nimepigana kwa sababu ya kulewa..
Leo nashindwa kwenda Hata mtaani kwa sababu ya aibu tele kama hii.. watu ninaoheshimiana nao wameniona Nikipigana.
Pombe mbaya jamani mnaishia kuumizana asubuhi ukiamka ndo unayapata Maumivu na akili ndo zinarudi!
Natoka Rasmi Chamani kuanzia leo!
Santana
Mshana nimekuelewa sanKanuni tatu za pombe
Usijisahau wewe ni nani
Ujijue uko wapi
Ukumbuke uko wapi
Ukivunja mojawapo ya hizo hata Kabla ya kujitoa utatolewa
Wacha niinyime tubMkuuKuacha pombe ni kuinyima serikali yako mapato mkuu
Nimelikimbia Chama mkuuAcha kunywa sehemu za ajabu ajabu, sisi tunaokunywa ushuani huku hatupigani.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app