Kwa Mara ya kwanza napigana kisa ulevi

Pole, Uache Mara Moja. Iyo Ni Kama Taa Ya Tahadhari Tu.
 
Kanuni tatu za pombe
Usijisahau wewe ni nani
Ujijue uko wapi
Ukumbuke uko wapi
Ukivunja mojawapo ya hizo hata Kabla ya kujitoa utatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…