Kwa mara ya kwanza nashuhudia ripoti ya vifo ikiwasilishwa kwa shangwe na makofi

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa.

Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious, kama vile inawasilishwa ripoti ya mapato ya uwekezaji mkubwa au ugunduzi wa mafuta?!

Hayo makofi yalikuwa ya kupongeza nini? Niliona katika ukumbi kulikuwa na watu wa nchi za kigeni. Wageni hawakuwa na raha kabisa kwa kubabu idadi ya vifo ni kubwa, hata wangekuwa watu wawili.

Bila shaka wageni wamejiuliza kama ndio krim ya uongozi, waliobaki huko wanafananaje?
 
Duh sikulifikiria hili. Ni msala, labda Yale mapendekezo ndo wanayashangulia
 
Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa.
Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious, kama vile inawasilishwa ripoti ya mapato ya uwekezaji mkubwa au ugunduzi wa mafuta?!

Hayo makofi yalikuwa ya kupongeza nini? Niliona katika ukumbi kulikuwa na watu wa nchi za kigeni. Wageni hawakuwa na raha kabisa kwa kubabu idadi ya vifo ni kubwa, hata wangekuwa watu wawili.

Bila shaka wageni wamejiuliza kama ndio krim ya uongozi, waliobaki huko wanafananaje?
 
Kama bado tupo hai tutashuhudia hata na kuku kapakata kadi anaenda kliniki.
 
Hatima yetu tunayo mikokoni mwetu sisi wenyewe kuingoa CCM

TOKA MAKTABA :
Mistari ya wanamuziki wa Tanzania, vijana enzi ya Nyerere ambayo yanaelemisha hadi leo hii kizazi chetu kuhusu kujikomboa kutoka makucha ya mkoloni, hapa hata mkoloni mweusi aliye CCM anayekandamiza umma wa waTanzania bado ni mkoloni haijalishi rangi wala nini bado ni mkoloni :

Ukombozi wa Afrika - Afro 70 Band

View: https://m.youtube.com/watch?v=CusrvwChw3g

Mapinduzi ya Afrika
Ambayo Lengo lake
Ni Ukombozi kamili wa Mwafrika
Yanapingana Na Siasa,
Za Unyonyaji
Za Ukoloni Mambo Leo
Na Ubeberu

Afrika!
Shabaha Kuu Ya Mapinduzi Afrika,
Ni Kumkomboa Mwafrika Eeh,
Watalaamu Wa Ukombozi Ni Sisi Wenye,
Tunao Nyonywa, Kunyanyaswa
Na Kuonewa,

Eeh Afrika Bado Bara La Watu, Waliomo Katika Unyonge, Wa Kuoonewa Na Kunyanyaswa,

Kutakuwa Hakuna Taifa Lolote Ulimwenguni la Kutufundisha Afrika Jinsi Ya Kujiokoa ...

Wajibu Wa Kujikomboa,
Tupata Katika Mapambano Hayo Yenyewe .......
 
Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa.

Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious, kama vile inawasilishwa ripoti ya mapato ya uwekezaji mkubwa au ugunduzi wa mafuta?!

Hayo makofi yalikuwa ya kupongeza nini? Niliona katika ukumbi kulikuwa na watu wa nchi za kigeni. Wageni hawakuwa na raha kabisa kwa kubabu idadi ya vifo ni kubwa, hata wangekuwa watu wawili.

Bila shaka wageni wamejiuliza kama ndio krim ya uongozi, waliobaki huko wanafananaje?
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom