Kwa mara ya kwanza naskia chuo kinachoitwa FETA

Hivi hichuo kinahili watu wa aina Gani na waliofaulu vipi. Au div four wote wanaishi huko
Kinahusiana na masuala ya uvuvi. Hapa Jijini Mwanza chuo kipo Nyegezi karibu na Nganza Girls Secondary School.
 
Fisheries education and training agency (FETA)

Main campus ipo bagamoyo, lakini pia Kuna campus ipo nyegezi mwanza.

Kinahusika na mambo ya uvuvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…